Mgodi ukifikia mahali ambapo cost ya kuuendesha inazidi kasi ya uzalishaji inabidi ufungwe. Maandalizi ya kuufunga yalianza toka 2007 na haikuwa kwa kuficha. Kazi ya kuufunga huchukua muda mrefu kwa hiyo kuajiri upya sio neno. Ni lazna majengo yawekwe kwenye use yenye manufaa, mashimo yafukiwe na ile layer ya juu ya udongo irudishiwe na miti na nyasi zioteshwe upya. Tena mnaoomba kazi wala msitie shaka manake hapo kuna kiinua mgongo cha faraja. Ombeni tu.
Mwenye interest anaweza kutafuta document ya environmental and social impacts statement asome decommission phase. Host ni vice president. Wamemaliza kuvuna ngoja wakawanyooshe mtwara sasa.