Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mamndenyi na The secretary njooni mumkaribishe mgeni kwa lile jisongi letu la anakonda!!!!!
Mamndenyi na The secretary njooni mumkaribishe mgeni kwa lile jisongi letu la anakonda!!!!!
Lady docto ofisi zenu zipo wapi?
Hivi unajua sipendi kuwa karibu sana na The secretary,
yahaya unaishi kinondoni,
nyumba namba ngapi eeeh .........by the Secretary
hebu njoo PM nikuelekeze
Lady doctor nasubiri hilo jisongi la anakonda
Haya lady naja huko PM
Hivi unajua sipendi kuwa karibu sana na The secretary,
yahaya unaishi kinondoni,
nyumba namba ngapi eeeh .........by the Secretary
naona Mamndenyi ameshakuimbia kiduchu msubirie The secretary aje na lisongi kamili
Habari Za Asubuhi Wana JF Chit-Chat
Nimepapenda sana JF Chit-Chat
Naomba kukaribishwa kama new member wa JF Chit-Chat
eti new member !!Yahya kwani ID yako halisi nani Yahya eheee
Karibu mgeni.. Una mia tano hapo nkuonyeshe mazingaombwe
Haya lady naja huko PM
Mamndenyi na The secretary njooni mumkaribishe mgeni kwa lile jisongi letu la anakonda!!!!!
mamayangu
waja leo
wataka pm leo
kweli tuambie jina lako la awali yahaya.
Mamndenyi kwani waleole hafai kuingia PM?