D Dogo chaka Member Joined Nov 19, 2024 Posts 7 Reaction score 6 Nov 23, 2024 #1 Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya
Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya
Iam back_Euphoria JF-Expert Member Joined Sep 17, 2024 Posts 366 Reaction score 1,114 Nov 23, 2024 #2 Welcome bruh
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,145 Nov 23, 2024 #3 Karibu sana mkuu
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,776 Nov 23, 2024 #4 Karibu, weka kitambulisho chako cha NIDA na barua ya mtendaji bila kusahau sahihi ya dolegumba.
G guest-1787677877 Guest Nov 23, 2024 #5 Dogo chaka said: Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya Click to expand... Si ungetumia jina lako la mtaani tu la dogo *****. Ingependeza zaidi.😀😀😀
Dogo chaka said: Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya Click to expand... Si ungetumia jina lako la mtaani tu la dogo *****. Ingependeza zaidi.😀😀😀
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,842 Reaction score 12,321 Nov 23, 2024 #6 Karibu mi ndo mgombea uenyekiti wa mtaa huu
D Dogo chaka Member Joined Nov 19, 2024 Posts 7 Reaction score 6 Nov 23, 2024 Thread starter #7 Muuza madafu wa Ikulu said: Si ungetumia jina lako la mtaani tu la dogo *****. Ingependeza zaidi.😀😀😀 Click to expand... Aaanh me ni mnunua madafu ikulu😎
Muuza madafu wa Ikulu said: Si ungetumia jina lako la mtaani tu la dogo *****. Ingependeza zaidi.😀😀😀 Click to expand... Aaanh me ni mnunua madafu ikulu😎
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,880 Reaction score 13,872 Nov 23, 2024 #8 Dogo chaka said: Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya Click to expand... Aahaaaaa.....
Dogo chaka said: Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya Click to expand... Aahaaaaa.....
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,880 Reaction score 13,872 Nov 23, 2024 #9 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,156 Reaction score 111,069 Nov 26, 2024 #10 Karibu sana JamiiForums...