Ha ha ha siyo kwamba sijui maana yake.
Kwa Ku comment Mimi ni mgeni . but ninavyosema Guest namaanisha siyo kwamba humu sipajui ila nilikuwa nipo nasoma kama Guest, jf without ID unatambulika kama Guest.
Na ndicho nilichomaanisha.
Asante kwa Ku comment.