MGeni

MGeni

kure11

Senior Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
110
Reaction score
26
Wana jf nawasalimu. Mimi ni mgeni,naomba mnipokee,hakika hapa ni mahali pa zuri napakubali sana.nilikuwa naingia kama mgeni ila nikaona chabo sio nzuri.!!!!!! Keep it up all,nawapenda wote.
 
Karibu sana, tunategemea kupata mengi kutoka kwako!
 
Karibu sana Mgeni. Kwa kuwa ulikuwa unapitapita lazima njia unaijua
 
. Mimi ni mgeni,naomba mnipokee,hakika hapa ni mahali pa zuri napakubali sana.nilikuwa naingia kama mgeni ila nikaona chabo sio nzuri.!!!!!! .

Karibu kure11, kwako huhitaji chabo, jisevie
 
thanx members am in tayari!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom