Mgeni Mkunguni-Chukua Tahadhari Hata Wewe

utamu wa uji ni kutikisa bakuli buddy
Sasa, tunachokiangalia ni nini hapa bibie?

Saa nyingine hatuwezi hata kucheka kama hatujui tunachokiona.

Pengine wengine sisi ni taahira.

Saidia dada!!
 
nimependa unyenyekevu wako lakini naamini si kila picha unapasw kucheka
Sasa, tunachokiangalia ni nini hapa bibie?

Saa nyingine hatuwezi hata kucheka kama hatujui tunachokiona.

Pengine wengine sisi ni taahira.

Saidia dada!!
 
Ninavyochukia nyoka nimejikuta moyo unalipuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…