Decapitator
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 311
- 79
akhsante sana!Karibu sana Mhusika. Kumbuka tu kwamba vigezo na mashart kuzingatiwa.
Sijui unajihusisha na nini? Lol...
Karibu sana JF.
Karibu sana JF
Mh unajua kwa kiswahili baadhi ya maneno hubadilika sana km hiyo kazi yako ila km ungesema kwa kiingereza ingekuwa rahisi..akhsante sana!
mimi ni mhandisi upande wa teknolojia ya mawasiliano!!