mgeni Arusha

mgeni Arusha

Unatafuta nyumba ya aina gani? Mimi ninayo nipigie 0789 543 339
 
kama ni shost kama mimi Karibu kwqngu mwaya wakat unaendelea kutafuta nyumba but kuna sehem maji ni tatizo, na vibaka na sehem nyingine vihiace mwisho mbili usiku
 
karibu saana cye tuna vyumba self vya kupanga umeme na maji vipo....!
 
Back
Top Bottom