jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
Nenda buchani, mwombe muuzaji akusaidie kupunguza angalau nchi nne za ziada. Ukupona tatizo litakuwa kwishnee!
Kaupunguze
Joto la leo siyo mchezo, yaani hadi ukitoa elfu moja mfukoni unakuta Nyerere amevua shati.
nipunguzeje?
imefikia sasa hata wasichana nikifanya nao mara moja hawarudi.
imefikia sasa sipati tunda jaman wanadai ni ndefu mno.ni nchi tisa tu.
nifanyeje wakuu niepukane na adha hii?
Hii promo unayoifanya hapa haitakusaidia. Ungeifanyia Mikumi ungepata foleni kubwa sana ya punda.
Joto la leo siyo mchezo, yaani hadi ukitoa elfu moja mfukoni unakuta Nyerere amevua shati.
Ukate na kisu
Hii promo unayoifanya hapa haitakusaidia. Ungeifanyia Mikumi ungepata foleni kubwa sana ya punda.
hili tangazo umelipia hapa maana biashara ya kutangaza inalipiwa
ulijifikiria mara mgapi kabla hujatoa hii post?
Hii promo unayoifanya hapa haitakusaidia. Ungeifanyia Mikumi ungepata foleni kubwa sana ya punda.
mmmmmmmmmmmhhhhhhhhh!!!!!!