Mgegedo na mziki

MIMI SIITAKJI MZIKI NAKUPIGA MSHOBOBO HATA KAMA UFOO SARO ANASOMA HABARI
 
Mkuu jitahd uwe unatumia nymbo za Lingala,mfn nyimbo za Koffi,Awilo au Felix Wazekwa.Kwenye hz nyimbo huwa kuna drums zinalia "Kwachu kwachu" so,unajitahd kufuatisha hizo sebene,lazma mgegedo uwe poa Mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kizazi kinazidi kumomonyoka,,,eti "nikiwa kwenye maandalizi ya mgegedo basi lazima niweke nyimbo zangu kadhaa ambazo zitasindikiza safari yangu ya kutafuta mafanikio ya kimgegedo" nna wasiwasi na uvulana wako,,, bado hujawa wa KIUME.... jichunguze vizuri.........
 
Ahahahaha mkuu usisahau na ule wimbo wa mwanaume mashine kama hauna kibamia
 
Sisi old school uwa naweka kitu ya Yellow Man "I want your vagina"
 
Atakuwa ni mwanakwaya mstaafu huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nasindikizwa na HIPHOP, tena zile NGUMU (Hardcore)

Huwa napenda kusikiliza Nyimbo kama Wouh ha ya Buster Rhymes ama zile za WU- Tang Clan, napenda pia ninapo kuwa kwenye Game (Mgegedo) kusikiliza nyimbo za Mwanaharakati KALA PINA.

Mara nyingi zinanipa HARI na SHARI ya kutekeleza Tendo kwa Hasira na Nguvu zaidi....!!

Nyimbo laini, nazisikiliza sana wakati wa BAD TIME...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalemaa... Ukienda sehemu hakuna muziki unaweza shindwa kuliamsha dude... Be a man of all weather

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…