kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Walishasema KAZI NA DAWA....
Nafikiri kama unaumwa MEZA DAWA afu ukapige KAZI
aiseh jamaa anahofia kuwa under performanceUnaogopa kuperform chini ya kiwango...kua uyaone...dont take things serious...kuna game lzm uwe chini ya kiwango tu,point ni je utakuwa chini ya kiwango kila siku?wanakuwa chibi ya kiwango wakina messi na ronaldo sembuse wewe...acheni kujitwisha mizigo
Imeniogofya sana... Itabid niache had niponeinategemea na mwili wako jinsi ulivyo mkuu lakn ni hatar sana pind ukishamaliza lile tendo kuumwa ndo kunaongezeka kwa sababu mwili umekuwa dhaifu kutokana na tendo lengewe linamaliza nguvu sana
Hivi ukiwa unaumwa malaria au ukiwa na homa vipi mgegedoni performance inakuwaje, kwa sababu nimekuwa mwoga sana kugegeda nikiwa siko sawa kwa hofu ya kufanya chini ya kiwango na hivyo kujipotezea sifa yangu ya dakika 45 kipindi cha kwanza.... Naomba kujua kwa mwenye uzoefu na hili je performance hubak vile vile au huwa na mabadiliko..
acha mkuu mi nilijarbu hyo k2 kidogo nife nilikuwa na mtoto mbichi afu ndo mpya mpya kwangu nikasema nioneshe uanaume kumbe hyo k2 uwaga aina tuzo mkuu cha msing jali afya yako kwanzaImeniogofya sana... Itabid niache had nipone
Zinatokeaga tu sio big deal kihivyo...aiseh jamaa anahofia kuwa under performance
Umemaliza mkuu no wordsUnaogopa kuperform chini ya kiwango...kua uyaone...dont take things serious...kuna game lzm uwe chini ya kiwango tu,point ni je utakuwa chini ya kiwango kila siku?wanakuwa chini ya kiwango wakina messi na ronaldo sembuse wewe...acheni kujitwisha mizigo
Nyie maneno km wazaramoUnaogopa kuperform chini ya kiwango...kua uyaone...dont take things serious...kuna game lzm uwe chini ya kiwango tu,point ni je utakuwa chini ya kiwango kila siku?wanakuwa chini ya kiwango wakina messi na ronaldo sembuse wewe...acheni kujitwisha mizigo