Ni saa tatu na dakika 25,umeme unakatika huku maeneo ya Mikocheni B. Naarifiwa kuwa mgawo umerejea ghafla. Giza lateka mitaa. Wenye majenereta waendelea kutesa...
Huwezi kuconfirm kuwa mgao umerudi kwa kukatika umeme mara moja mkuu, inawezekana kuna short circuit somewhere. If it becomes recurrent then we'll be forced to believe this!!!!
Ni saa tatu na dakika 25,umeme unakatika huku maeneo ya Mikocheni B. Naarifiwa kuwa mgawo umerejea ghafla. Giza lateka mitaa. Wenye majenereta waendelea kutesa...
siyo Dar tu, ni nchi nzima. Hata pande hizi za Kanda ya Ziwa umeme umekatika muda huo huo na mpaka sasa haujarudi. Sitashangaa kama tunarudi tena mgawoni. Hii Tanganyika bwn!
Updates: Punde umeme umerejea. Nimetaarifiwa na Badra Masoud,Msemaji wa TANESCO, kuwa lilikuwa ni tatizo la kiufundi. Chanzo changu cha habari cha mwanzoni nusura kiniingize Mabwepande...

ni kwel ata arusha tangia juzi wanakata umeme,apa saiv bado nipo kazni na hamna umeme jana mida kama saa 1 home umeme ulikata kama ilivyo leo kata ingne