Mgawo wa umeme umerudi?

Mgawo wa umeme umerudi?

RECYCLER

Senior Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
104
Reaction score
10
Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
 
Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
Wanaona aibu kutangaza kwani walijitapa kuwa wamekamilika katika kukabiliana na tatizo la mgao, kitu kimyakimya speed 120 kwenye kona nshaaaahhhh.
 
Huoooooo!! Afadhal umerudi ninyoshe viwalo vya kwenda kibaruan kesho
 
Back
Top Bottom