Ukweli usiopingika watu matajiri siku zote wanataka watoto wao waolewe na kijana kutoka familia tajiri. Nakufanya mgawanyiko kuwepo, Wengine kati yetu tulikuwa na opportunity of dating people that come from a rich family. Ila siku zote mahusiano yanakufa to last long. Hili swala linaweza kwisha? Mawazo yako mwana MMU.
Embu fikiria umekuwa tajiri kutokana na taaluma yako ambayo umeisotea kweli kweli. Umeoa mke mzuri ambaye ana watoto wazuri. Umewakuza watoto wako katika mazingira mazuri. Shule nzuri, makuzi bora. Mtu mchafu chafu anaingia ndani an amuulizia mtoto wako. Utafanyaje?
Ukweli usiopingika watu matajiri siku zote wanataka watoto wao waolewe na kijana kutoka familia tajiri. Nakufanya mgawanyiko kuwepo, Wengine kati yetu tulikuwa na opportunity of dating people that come from a rich family. Ila siku zote mahusiano yanakufa to last long. Hili swala linaweza kwisha? Mawazo yako mwana MMU.
Yani wewe sijui uko dunia gani imeandikwa aliyenacho ataongezewa sio kupunguziwa sasa huyo binti umtue masaki akaishi buguruni wapi na wapi utakula usawa wa kamba yako bhanaaaa
Naamini amna mtu anayetaka mtoto wake aoelewe na familia masikini mbaya zaidi masikini ataki kuolewa/kuoa masikini. Kwangu mimi binafsi powa tu ili mradi nitapata amani ya dhati ya moyo wangu.