Leo ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru nishati ya umeme na maji ni tatizo la kitaifa lakini kuna watu wachache bado wanashabikia mfumo s.s.m
Leo Watanzania wenye kuendesha maisha yao kwakutegemea nishati ya umeme ni taabu na dhiki kubwa huku mtaani, ukiwaangalia wenye Mashine za nafaka, stationary, mahabara, studio, internet cafee, welder's, mashine za kuchana mbao, wauza nyama na samaki, na wengine wengi
Wote hao hapo juu uchumi wao umeyumba kwa kiasi kikubwa na wengine kupoteza kabisa.
Ukiangalia multiplier effect kwenye uchumi hali ni mbaya sana hela hitembei sawasaw ila bado kuna watu wanachekacheka na chama kweli?
Ila bado kuna watu wanashabikia nchi ya Viwanda? Labda wanategemea umeme wa Power bank
Inaumiza sana kwa sisi Wananchi wakawaida, ila mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie na mwenye akili timamu na atafakari .as a Nation kuna kufika? Tufanye maamuzi ya busara kuelekea Tanzania mpya
Leo ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru nishati ya umeme na maji ni tatizo la kitaifa lakini kuna watu wachache bado wanashabikia mfumo s.s.m
Leo Watanzania wenye kuendesha maisha yao kwa kutegemea nishati ya umeme ni taabu na dhiki kubwa huku mtaani, ukiwaangalia wenye Mashine za nafaka, stationary, maabara, studio, internet cafee, welder's, mashine za kuchana mbao, wauza nyama na samaki, na wengine wengi.
Wote hao hapo juu uchumi wao umeyumba kwa kiasi kikubwa na wengine kupoteza kabisa.
Ukiangalia multiplier effect kwenye uchumi hali ni mbaya sana hela hitembei sawasaw ila bado kuna watu wanachekacheka na chama kweli?
Ila bado kuna watu wanashabikia nchi ya Viwanda? Labda wanategemea umeme wa Power bank
Inaumiza sana kwa sisi Wananchi wakawaida, ila mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie na mwenye akili timamu na atafakari. As a Nation kuna kufika? Tufanye maamuzi ya busara kuelekea Tanzania mpya
Viwanda vitatumia power bank mkuu
Hatari sana, halafu kuna watu wanaamini na kusapoti haya majizi.ndiyo maana Mzee Jomo Kenyata alimwambia Nyerere kuwa anatawala marehemuNitagawa Milioni 50 kila Kijiji
Hatari sana, halafu kuna watu wanaamini na kusapoti haya majizi.ndiyo maana Mzee Jomo Kenyata alimwambia Nyerere kuwa anatawala marehemu
Asante mkuu. Hawa watu wana macho ila hawaoni, wana masikio ila hawasikii, wana akili ila hawaelewi. Tz haihitaji wapiga push up, inahitaji viongozi watakaofuta migao ya umeme, maji n.k. CCM hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiWakati watu tunahitaji umeme wengine wanakazana kupiga ma-push up majukwaani.