Colgate3
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 800
- 1,424
Waziri Biteko huku Arusha hasa Meru, Moshi road yote kuanzia Ngulelo, Ambureni, Tengeru na kuendelea tumewakosea nini?
Jana Jumamosi katika masaa 24 tumepata umeme masaa 4 tu.
Leo tumepata masaa 7 tu na umekatwa kitambo.
Kuna tatizo gani hasa?
Arusha mjini sio salama pia japo makali yake hayafikii Meru.
Mnatuumiza mno.
Mungu awalipe sawa na MATENDO YENU