Huyo mnafiki mwakyembe kwanza hatakiwi hata kutengewa bajeti, yeye akijaziwa mafuta kwenye gari tu inatosha kwani shughuli zake kubwa ni kuhudhuria matamasha ya wakina Saida Karoli na ikitokea kuna timu ya kigeni imekuja nchi ni kuwa tu pale airport kuwapokea.