ni kweli sehemu nyingi tunalalamika kuongezeka kwa makali ya mgawo tangu bajeti ipite.
Serikali inabidi ituambie hizo Megawatt sasa zinaenda wapi hadi makali yanazidi kuongezeka kila kukicha.
Bila shaka hapa kuna harufi ya ufisadi mwingine ,unawaze kukuta wakuu wanakula hata fedha ya mafuta ya kuendeshea mitambo