Mgao sugu wa Umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao sugu wa Umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Mar 9, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nilidhani nchi ingekuwa na viongozi wawajibikaji kwani Mgao wa Umeme sasa imekuwa ni Janga kubwa la Kitaifa,lakini viongozi wetu ndio kwanza wanapoteza muda mwingi nje ya nchi,mfano Kikwete na speech yake mbovu Paris..'MADAME CHAIRMAN'lini 2takuwa na muda wa kufanya ya msingi ama paka tutakapojitoa muhanga ndio mtashtuka?
   
Loading...