Mgao sakata la ESCROW

Mgao sakata la ESCROW

MrIsidori

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
191
Reaction score
83
Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia
 
Huwa ni vizuri kama mada ni ya kipuuzi unaiacha bila kuchangia ili usijekuwa mpuuzi pia.
 
yani ndio alivyoona atoke vp

Muulize hili swali Rostam ameuza hisa zake za voda kwa Dola million 300 hakulipa Kodi katimka nazo japo alimugawia Regnal Mengi kiasi ili kumaliza Ugonvi wao je? Anahisi aligawana tshs ngapi? Na amegawana na wangapi?
 
Dowans iliuzwa Kwa dola 120 million na Serikali ililipa fidia kwa dola 100 million zote hazikukatwa Kodi Mchezo wote ulisimamiwa na Rostam Aziz, chukua hizo dola 220 milion jumulisha na dola 300 million hisa zake za voda ni dola 520 milion, Huu Mchongo wote Mengi anaujua na alipewa Percent zake ndiyo maana alikaa kiimya kwa mda wote, Mwigulu anajua hili lakini naye kauchuna , Kodi iliyokwepwa hapa ni kubwa kuliko hata hiyo pesa yoote ya escrow, Chezea Rostam wewe....
 
Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia
Mkuu inaelekea ulikuwa kwenye kikao kilichopanga kiasi cha mgao kwa kila mhusika,kufuatana na taarifa yako ni vyema ukadadavua ni yupi alimchukulia nani badala ya kutuachia kitendawili.
 
Typographical....."don't argue with a fool people might not notice the difference"
 
Mengi Vitalu vya Gesi tu vimemfanya atumie Mabilioni kumng'oa Mhongo wakati yeye amebunya mapesa kibao aliyopewa na Rostam kisha akamsaidia Jinsi ya kukwepa Kodi kutokana na Uzoefu wake wa miaka mingi . Sendeka sasa ni Milionea katumia vyema bifu la Mengi na Mhongo kujinufaisha baada ya Mengi kumpa Tenda ya kumng'oa Mhongo lakini wakashindwa kule Dodoma sasa wapo busy wakibuni njia ingine yaani badala Mengi aboreshe Masilahi ya Wafanyakazi wake yeye amekuwa busy kupoteza Mabilioni kwenye Ligi za dili zake binafsi huku akitumia Wananchi kusaka Huruma ingawa wengi sasa wamemshitukia.
 
mada yako ya kijinga sana haina kichwa wala miguu.

mara nyingi mwanafunzi mjinga kuliko wote darasani ndiye asiye elewa kila kitu kama wewe,, wenzio tumemuelewa,, nafikiri ungesema wewe hujaelewa na sio kujumuisha.
 
Dowans iliuzwa Kwa dola 120 million na Serikali ililipa fidia kwa dola 100 million zote hazikukatwa Kodi Mchezo wote ulisimamiwa na Rostam Aziz, chukua hizo dola 220 milion jumulisha na dola 300 million hisa zake za voda ni dola 520 milion, Huu Mchongo wote Mengi anaujua na alipewa Percent zake ndiyo maana alikaa kiimya kwa mda wote, Mwigulu anajua hili lakini naye kauchuna , Kodi iliyokwepwa hapa ni kubwa kuliko hata hiyo pesa yoote ya escrow, Chezea Rostam wewe....

Yaani SERIKALI yetu bana kwanin tusiwe omba omba kama matajiri wanakwepa kodi halafu wafanya biashara wa kawaida unawza bana na EFD
Ulaya wao swala la kulipa kodi sio hiari huku kwetu hata AG anasema kodi isilipwe haya ni maajabu sana
 
Mengi Vitalu vya Gesi tu vimemfanya atumie Mabilioni kumng'oa Mhongo wakati yeye amebunya mapesa kibao aliyopewa na Rostam kisha akamsaidia Jinsi ya kukwepa Kodi kutokana na Uzoefu wake wa miaka mingi . Sendeka sasa ni Milionea katumia vyema bifu la Mengi na Mhongo kujinufaisha baada ya Mengi kumpa Tenda ya kumng'oa Mhongo lakini wakashindwa kule Dodoma sasa wapo busy wakibuni njia ingine yaani badala Mengi aboreshe Masilahi ya Wafanyakazi wake yeye amekuwa busy kupoteza Mabilioni kwenye Ligi za dili zake binafsi huku akitumia Wananchi kusaka Huruma ingawa wengi sasa wamemshitukia.

wewe na mavi ya mbwa mnatofautiana nini???mie naona kama mnafanana vile.!
 
Yanafanana na baba yako mama yako na ukoo wako wote wewe mwenyewe hujitambui angalia unavyafanana na ngisi aliyeoza.
 
Kwaiyo na ww ni mpuuzi pia?

kama hoja ni kutaka kujua nani ni mpuuzi haitakuwa ajabu kukiri kiwango cha upuuzi wangu. Na ni uungwana kuliko kuendelea kuonyesha vidole wenzio bila kujaua kuwa tofauti yetu ni levels za ignorance tu. We are all ignorant in one way or another!
 
Yaani SERIKALI yetu bana kwanin tusiwe omba omba kama matajiri wanakwepa kodi halafu wafanya biashara wa kawaida unawza bana na EFD
Ulaya wao swala la kulipa kodi sio hiari huku kwetu hata AG anasema kodi isilipwe haya ni maajabu sana
Huyo Mengi mwenyewe huwa halipi Kodi aliwahi kukopa NBC bank kisha akala njama nyaraka zote zikachomwa na kupoteza kumbukumbu Bank ikayumba hadi ilipokuja kuokolewa na Uwekezaji, Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi ya kumwaga wafanyakazi wake anawalipa mishahara Mibovu Lakini anatumia Mabilioni kwenye Ligi zake binafsi huku akisaka Huruma za Watanzania.
 
Back
Top Bottom