Mgao huu wa umeme ni mkali mno

Mgao huu wa umeme ni mkali mno

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,411
TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?

Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.

Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu wadau
 
Leo Biteko amenukuliwa akizungumzia uwepo wa mgao hii ni hatua kwa kukubali uwepo wa tatizo.

Akina Maharage bado wameshupaza shingo tu na porojo za Makamba.

Maharage yamechacha...🤣
Alafu naskia kuna mtu alifukuzwa kwa aibu pale meza kuu, eti akashughulikie umeme..😜
 
TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?

Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.

Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu wadau
RAIS SAMIA ANAFAA KUKEMEWA SANA NA WAZALENDO.
 
Tulikuwa na mita ya Luku inafanya kazi wamekuja kubadilisha. Wamekodi software kwa 30bln. Hizo pesa zote si zingeenda kwenye kuongeza uzalishaji wa umeme? Hawa wameshindwa kazi tuliyowatuma.
 
Yule mtoto si inasemekana anawekeza kwenye nishati...

Mtasagia Meno.
 
Back
Top Bottom