Una dawa ya kumfanya apate.kazi yenye mshahara mkubwa na afanikiwe vijiwe vyake vya kuuza supu ya mkia? Manake hela zake namtunzia tayari ila hazitoshi tu.
Nitakuamini vipi kama Dawa zako zina uwezo kwa Mke wangu? si mpaka mjifungie na avue nguo zote umchanje> km kweli mtumie dawa MKE WANGU AICHUKIE CHADEMA ndio nitakuamini kuwa kweli wanaume wanaweza kuchukia nyumba ndogo kwa dawa zako