K Kesh Member Joined Oct 5, 2016 Posts 9 Reaction score 4 Oct 26, 2016 #1 Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,080 Oct 26, 2016 #2 mbona rahisi mm hapa nipo!! nakutibu hapa hapa!
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,073 Reaction score 43,794 Oct 26, 2016 #3 Mganga wa mapenzi? kiaje yaan?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,215 Reaction score 165,812 Oct 26, 2016 #4 Waganga wenyewe wanasumbuliwa na mapenzi....
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,507 Reaction score 57,086 Oct 26, 2016 #5 Wanawake mtatumaliza jamani maana huko mnakotaka kutupeleka siyo kuzuri.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,144 Reaction score 843,194 Oct 26, 2016 #6 Kesh said: Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli Click to expand... Jaribu kueleza tatizo lako kwa undani nijaribu kukusaidia hapa hapa kwa faida ya wengi pia
Kesh said: Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli Click to expand... Jaribu kueleza tatizo lako kwa undani nijaribu kukusaidia hapa hapa kwa faida ya wengi pia
kanyela mumo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,034 Reaction score 2,123 Oct 26, 2016 #7 Niandalie mbuzi mweusi na kilo ishirini na tano za mchele wa Kyela, Mbeya.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,431 Reaction score 108,611 Oct 26, 2016 #8 Kesh said: Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli Click to expand... Tiba ya matatizo uliyonayo ni pesa tu, wala usijisumbuwe huitaji mganga wala nini, tafuta hela fullstop. Kama ni mkosi au nuksi uliyonayo ni ukosefu wa madini ya fedha mwilini, tafuta mganga wa Ndago.
Kesh said: Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli Click to expand... Tiba ya matatizo uliyonayo ni pesa tu, wala usijisumbuwe huitaji mganga wala nini, tafuta hela fullstop. Kama ni mkosi au nuksi uliyonayo ni ukosefu wa madini ya fedha mwilini, tafuta mganga wa Ndago.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,657 Reaction score 161,643 Oct 26, 2016 #9 mbalizi1 said: Mganga wa mapenzi? kiaje yaan? Click to expand... Anayeyatibu mapenzi. Mapenzi ni ugonjwa hatari unaoshambulia mimea
mbalizi1 said: Mganga wa mapenzi? kiaje yaan? Click to expand... Anayeyatibu mapenzi. Mapenzi ni ugonjwa hatari unaoshambulia mimea
nobody knows but me JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 525 Reaction score 362 Oct 26, 2016 #10 Matola said: Tiba ya matatizo uliyonayo ni pesa tu, wala usijisumbuwe huitaji mganga wala nini, tafuta hela fullstop. Kama ni mkosi au nuksi uliyonayo ni ukosefu wa madini ya fedha mwilini, tafuta mganga wa Ndago. Click to expand...
Matola said: Tiba ya matatizo uliyonayo ni pesa tu, wala usijisumbuwe huitaji mganga wala nini, tafuta hela fullstop. Kama ni mkosi au nuksi uliyonayo ni ukosefu wa madini ya fedha mwilini, tafuta mganga wa Ndago. Click to expand...
M maharage ya ukweni JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 1,493 Reaction score 3,371 Oct 26, 2016 #11 Kumbe ndio maana mnachapiwa halafu mnakuja hapa JF kulia lia!ukiona mwanamke hakutani sio riziki yako tafuta mwingine,natabiri huyo mwanamke au mwanaume unayetaka kumfanyia dawa ya mapenzi wenzako lazima watakusaidia halafu kesho utakuja hapa JF kuomba ushauri
Kumbe ndio maana mnachapiwa halafu mnakuja hapa JF kulia lia!ukiona mwanamke hakutani sio riziki yako tafuta mwingine,natabiri huyo mwanamke au mwanaume unayetaka kumfanyia dawa ya mapenzi wenzako lazima watakusaidia halafu kesho utakuja hapa JF kuomba ushauri
M Mr. Verossa JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 571 Reaction score 291 Oct 26, 2016 #12 nenda pm mueleze matatzo yako MziziMkavu atakusaidia