Ndio hapo sasa! Unataka kwenda mbinguni ila hutaki kufa.Sasa binti si alikua anataka mimba?
Mimba binadamu tunazithamanisha kutokana na mila, desturi na dini.Sasa binti si alikua anataka mimba?
Sasa binti si alikua anataka mimba?
Hakuna anachojielewa, huwezi kwenda kwa mganga kutafuta mtoto alafu ukasema Huyo mtu anajielewa Kama Mungu hajakupa mganga yeye ni nani hadi akupe mtoto?Afadhali huyo binti anajielewa.
Kila mtu ana imani yake. Labda ni muumini wa African Traditional Religion na si Muislam wala Mkristo.Hakuna anachojielewa, huwezi kwenda kwa mganga kutafuta mtoto alafu ukasema Huyo mtu anajielewa Kama Mungu hajakupa mganga yeye ni nani hadi akupe mtoto?
Hata hao African religion huenda kwenye Mizimu na sio kwa wagangaKila mtu ana imani yake. Labda ni muumini wa African Traditional Religion na si Muislam wala Mkristo.