TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Askari wa Mgambo wakimkamata mama aliye kuwa akijiuzia bidhaa ndogo baada ya msoto wa maisha bora kwa kila mtanzania.
Yaani ilikuwa balaa patashika nguo kuchanika
Huyu mama kuna watoto na mme anawalea kwa kujifanyia biashara ndogo ndogo k.koo hapa anaingizwa kwenye karandinga la mgambo.
Kha hapa mm sisemi mengi, hawa mgambo ni kama mafisi