Mgambo wa Manispaa ya Ilala WANATISHA kwa RUSHWA


MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Points
1,250
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 1,250
Ukipita katika Mitaa ya Kariakoo utakutana na vioja vingi hebu angalia hii picha je umegundua nini?

Askari mgambo wa Manispaa ya Ilala hasa wale wanaopangiwa katika soko la Kariakoo na mitaa ya Kongo au mitaa inayolizunguka soko hilo wamekuwa wakilalamikiwa kwa kuwakamata wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Machinga kwa kuwanyanganya bidhaa zoa kisha kuwataka watoe pesa kila kiasi cha 10,000 hadi 30,000. ukikataa kutoa pesa hurudishiwi mzigo wako, pichani ni mmoja wa akina mama ambao hujihusisha na uuzaji wa vitunguu akizozana na askari hao mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa watoto akiwa amembeba mdogo wake kama alivyokutwa katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom.Wazazi wengi wamekuwa hawajari malezi ya watoto wao.
 

Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,290
Top