elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Nmerekebisha tayariUstawi wa jamii ziko nyingi mkoa gani
Yes milioni sitakodi kwa mwaka maana yake mnataka millioni sita mbele? au mimi ndo sijaelewa?
Mkuu haipungui unakuta viti na meza 35, freezer, jiko la gas jiko la kuchomea nyama na chips vyombo, turubai na kila kitu.Aseeh aipungui hali wenyew ii,
Basi sawa...Yaani urisk millions 6 sehemu yenyewe hujajua itakulipa kiasi gani, tena hatari zaidi ni kwamba mwenzio anapakimbia
Kwa mwaka hiyo kodi onajumuisha freezer, vyombo viti 35 na meza zake, jiko la kichomea nyama na jiko la kukaangia chips, miamvuli na maturubai pamoja na jiko la gas.Kodi inalipwaje? Kila mwezi au?
Ndugu mtu anaweza kuamua kuacha biashara kwa mambo mengi ikiwemo usimamizi, kuhama, mtaji na mengine.Bro maisha magumu haya....milioni 6 at once halafu sehem mtu hajaifanyia estimations. Labda tuulize huyo aliyekuwepo kwanini anafunga biashara?
Fanya ilipwe kila mwezi bro
Do not invest the money that you can not afford to looseYaani urisk millions 6 sehemu yenyewe hujajua itakulipa kiasi gani, tena hatari zaidi ni kwamba mwenzio anapakimbia