Electrical Engineer
Member
- Oct 6, 2012
- 50
- 18
mkuu hamna kitu cha google ambacho microsoft au patner wake hana.
patent ya smartglass ya microsoft by that time akitoa google na microsoft katoa yake.
Na microsoft ana xbox ambayo ndo market kubwa ataipata huko + ilumiroom mambo swaaafi
Na sio kila kitu kinachovumbuliwa tukifuate au tukiige,kwanza hawa wenzetu wana huduma ya matibabu nzuri sisi akina kabwela huenda uwe waziri mkuu au raisi au mbunge ndio utapata matibabu mazurimmh watatuua sasa na cancer ya ubongo
kazi ipo watakuja kuleta hadi smartpants
duh kila kitu kimesha tengenezwa achana na wazungu!
Hii ki2 wameiga idea kutoka kwa dogo wa kihindi alikuwa ana project kama hiii sema jina lake nimemsahau ila documentary yake niliina ktk kipindi cha ted showw
yah sure mkuu ni sixth senseProject yake naitwa sixth sense.
yah sure mkuu ni sixth sense
yule dogo anaakili sana alafu aktoka mbali unaona aalioanzaia kugenerate idea yake sio hawa wezi tu kisa wana capital basi wana copy na kupaste
Ile project ya akili sana, ukiwa na ile device hauhitaji kuwa na simu, saa, computer, scanner wala camera.