mfungwa mjanja

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,574
babu alimuandikia mjuu wake barua aliyekua jela
" mjukuu wangu mwaka huu sitapanda viazi hapa shambani kwetu kwani sina nguvu ya kulima najua ungekuwapo ungenisaidia"

mjuku akajibu "usifikirie ata hilo wazo la kulima kwani hapo shambani ndo nilipofukia zile hela nilizoiba"

(askari huwa wanasoma barua za wafungwa)
kesho yake uwanja mzima ulitifuliwa na maasari kusaka pesa

baada ya siku 2 dogo akamuandikia babu yake barua " aya panda viazi babu that is the best i can do from here"
 
hahhhaha, nimecheka kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…