Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,220
- 138,658
Wamekusikia watakua hawapeleki timu uwanjani, ili wasije waumiza na kuwachosha wawakikishi wa kimataifa.Na kwa jinsi hii nchi isivyo na shukrani, timu za NBCL (kama Prisons,Kagera,etc) Zina hamu ya kuwavunja miguu wachezaji wa Simba watakapokutana dimbani. Mtu kama Abdi Banda wala hana anachowaza zaidi ya kuwasababishia ulemavu
We mwenye kichwa chenye kona kona kama limao sijamaanisha hivyo! Timu wapeleke ila mambo ya Shaolin soccer waachane nayo. Mbona Azam hatujawahi kuwalalamikia pamoja na kuchukua mipoint yote mi4 kutoka kwetu?Wamekusikia watakua hawapeleki timu uwanjani, ili wasije waumiza na kuwachosha wawakikishi wa kimataifa.
Vita haichagui silaha dogo, ukikaa vibaya hata bomu la nyuklia hutumika, rejea hiroshima na nagasaki.We mwenye kichwa chenye kona kona kama limao sijamaanisha hivyo! Timu wapeleke ila mambo ya Shaolin soccer waachane nayo. Mbona Azam hatujawahi kuwalalamikia pamoja na kuchukua mipoint yote mi4 kutoka kwetu?
Mfano wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. Kwahiyo una akili sana kuwazidi wale walioleta dhana ya fair play?Vita haichagui silaha dogo, ukikaa vibaya hata bomu la nyuklia hutumika, rejea hiroshima na nagasaki.
Usiwapangie wachezaje, ndio maana kuna marefa uwanjani kama mnaona hamtendewi haki si muwashtaki.
Huyu ametusaidia kuweka rekodi sawa, na hansard za TFF ziseme hivyo 🤣😂🤣. Ni Simba iliyohakikisha Tanzania inapata hizo nafasi 4 msimu ujao.KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeiheshimisha Tanzania na kutoa fursa kwa vijana kupata nafasi zaidi za kutoka nje ya nchi...
Mpira una sheria zake dogo, kama hao unaowatuhumu wanafanya hayo usemayo sidhani kama hizo timu zingekuwepo mpaka leo kwa kuwacoach ujinga wachezaje wake.Mfano wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. Kwahiyo una akili sana kuwazidi wale walioleta dhana ya fair play?
Comment ya mwanaume wa dar mayai mayaiNa kwa jinsi hii nchi isivyo na shukrani, timu za NBCL (kama Prisons,Kagera,etc) Zina hamu ya kuwavunja miguu wachezaji wa Simba watakapokutana dimbani. Mtu kama Abdi Banda wala hana anachowaza zaidi ya kuwasababishia ulemavu wachezaji wa Simba. Huu ni upumbavu sana.
Sisemi kwamba wasiipe changamoto Simba, big NO! Waipe Changamoto ya kisoka na kihalisia, hii nyingine wanayofanya ni 'chuki kali dhidi ya Simba'. Mbona Azam na hata Yanga huwa wanaocheza fresh tu na Simba,na hata kuifunga ila hatulalamiki? Unaichukiaje timu ambayo inasaidia timu nyingine 4 kushiriki michuano ya kimataifa? Muwe mnafikiri mara mbili mbili basi! Nyie vitimu vidogo visivyo na akili badilikeni.
Umeacha mada unafanya attacks kwa mtoa hoja. Hivi nyie wenzetu mnatumia kiungo gani kufikirKule fc lupopo sijui kwanini anakaa bench kila siku
Kwakua hukuandika tuchangie kwa namna gani mi nimeamua nichangie kwa namna hiyo kweni kuna tatizo?Umeacha mada unafanya attacks kwa mtoa hoja. Hivi nyie wenzetu mnatumia kiungo gani kufikir
Unaichukiaje timu ambayo inasaidia timu nyingine 4 kushiriki michuano ya kimataifa?