Mfumuko wa vitambi Dar chanzo chanzo?

Mfumuko wa vitambi Dar chanzo chanzo?

Ila kitambi sio tatizo la dar tu bali ni dunian kote, hasa ulaya na marekani. Kuna watu wanamatumbo kama hawaendi chooni vile.

sent using samsung galaxy s8
 
Wameshiba wakati wote,,
Ila kitambi sio tatizo la dar tu bali ni dunian kote, hasa ulaya na marekani. Kuna watu wanamatumbo kama hawaendi chooni vile.

sent using samsung galaxy s8
 
Vitambi katika ubora wake
images%20(18).jpeg
fat-man-300x300.jpg
images%20(19).jpeg
images%20(17).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambi ni dalili za ulaji mbovu na matatizo katika mfumo wa mmeng'enyo ambapo badae ndio inakuja kuleta magonjwa kama ya stroke,heart failure,na wabongo tunavyochukia mazoezi mbona haya magonjwa ya sukar,BP nk yatatumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi ya kitambi

1. Kufutia screen ya simu
2. Kujifariji wakati unashida,,ni faraja sana kushika shika kitambi saa una pitia wakati mgumu wowote katika maisha yetu hapa dunian

3. Kina leta heshima fulani hivi kwenye jamii inayokuzunguka

4. Kinatumika kuvalia tai,, kama huna kitambi ukivaa tai unaonekana kama umejifunga ka kamba tu shingoni,


5 . Kinatumika kuvalia suti, asikuambie mtu bana mara nyingi Watu wasio na vitambi suti haziwapendezi,


NB,, kitambi sio baraka kama watu wengine wanavodhani,,
3.jamii ya wasijitambua
5.tangu lini suti ikampendeza mtu shapeless? Suti inapendeza watu walioonyooka maana suti yenye inatakiwa inyooke.
 
Back
Top Bottom