Umesema ukweli Sista!Huko mtu akiingia hatoki hadi akamuliwe kikubwa (no evidence lakini msije nitoa roho yangu buree)
itabidi tuwasiliane ili tukatafute pamoja.....tunaweza kupata........
ni kweli kabisa aiseeeZipo nyingi tu, Kinondoni, Mikocheni, msasani, na sinza. Kwakuwa lazima uvue nguo zote visa utakavyofanyiwa lazima uombe kukamuliwa, ila kuna extra cost ya huduma hiyo! Kwa ufupi hawana jipya zaidi ya kuuza, japo yapo yanayofanya kazi serious.
Body without head
kuna siku nilienda ya kichina wale wahusika wakaniambia nikitaka huduma nyingine niseme tena nitapewa na wawili kwa dolla 100.
nikakataa. nilichoamua kufanya utafiti kwa nyingine nikagundua ayo ni madanguro yaliyokuja kiharali.
kuna mambo ya ngono yanaendelea umo ukikataa wanakutega makusud uingie king bora msiende tu
Hahaha! unataka kwendaKichina? aisee ni wapi huko?:smile-big:
Hahaha! unataka kwenda