The recent black history of this country does not help Tanzanians of this generation. Tanzania's history must be rebuild and forget the past! Hatuhitaji tena chama chenye historia ya ufisadi na uonevu Tanzania.
Nasoma comment yako na kucheeeeka, hivi bado una ndoto hizi au umeshazimika?CCM mmekata tamaa, poleni, jifunzeni sasa kutoka CHADEMA namna ya kuwa wapinzani wazuri
Naongea na mbuzimbuzi, rejea mwaka wa bandikoUfutwe mara ngapi, mfumo huu upo kama kiini macho tu hawamu hii.
Naongea na kitimoto. Ninazungumzia hawamu hii (hawamu ya5)Naongea na mbuzimbuzi, rejea mwaka wa bandiko
Ni kweli mfumo wa vyama vingi ufutwe halafu tuanzishe mfumo wa Kisukuma unaoitwa "chagulaga"
Au sio mwanangu?
Bujibuji ni kihindi, kwa kiswahili ni mbuzimbuzi, umeelewa vibaya na kuniita najisi aise [emoji1787]Naongea na kitimoto. Ninazungumzia hawamu hii (hawamu ya5)
Huo umesha anza kitamboNi kweli mfumo wa vyama vingi ufutwe halafu tuanzishe mfumo wa Kisukuma unaoitwa "chagulaga"
Au sio mwanangu?