Haya ni maoni binafsi maana kwa Sasa inaonekana kushabikia siasa za upinzani ni kosa la kukuletea umauti. Wakusoma 12 kwa napendrkeza mfumo wa nyama vingi ufutwe ili taifa lifuate mrengo wa chama kimoja Cha siasa.
Hatuwezi kuendelea kupoteza maisha ya watu kisa vyama vya siasa na hili ni muhimu sana. Chadema na vyama vingine vyote vya kisiasa viachane na misimamo yao kwa masilahi mapana ya umma. Wajiunge na CCM na kutangaza kuingia ndani ya mfumo wa CCM ili taifa lipige hatua