Mfumo wa Tamisemi umefunguliwa

Mfumo wa Tamisemi umefunguliwa

.
Screenshot_20230313-181912.jpg
 
Ni muda wa kuandaa attachment hapo, hivi huku Fani nyingine Tofauti ya AFYA na ELIMU huwezi kuomba 🤦🏾‍♂️
 
Attachments

  • Screenshot_20230314-094147.png
    Screenshot_20230314-094147.png
    15.6 KB · Views: 18
Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu
1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini
2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo?
3) je ikiwa dirisha la maombi ya ajira limefungwa huwa unapata ujumbe gani unapoingia katika account yako ya maombi?
4) kama ni account ikafungwa je huwa wanashughulika na detail zako za maombi ya ajira ikiwa ulijaza kila kitu? 🙏🙏🙏 Nawasilisha wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_20250602_161700.jpg
    Screenshot_20250602_161700.jpg
    139.6 KB · Views: 5
Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu
1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini
2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo?
3) je ikiwa dirisha la maombi ya ajira limefungwa huwa unapata ujumbe gani unapoingia katika account yako ya maombi?
4) kama ni account ikafungwa je huwa wanashughulika na detail zako za maombi ya ajira ikiwa ulijaza kila kitu? 🙏🙏🙏 Nawasilisha wakuu
Tuliza wenge hiyo account ni Kwa ajili ya kuombea ajira, sasa hivi Kuna ajira gan ambazo Tamisemi wametangaza mpaka hiyo account iwe active?
 
Sina wenge mkuu kulikuwa na hizi za kujitolea mkuu. Ndyo maana nikauliza kuwa imefungwa kwangu tuu nikimaanisha niko blocked ama ni dirisha limefungwa mkuu. Rejea swali mkuu
 
Back
Top Bottom