Mfumo wa siasa Tanzania umekufa rasmi 2025 tuna mfumo wa kipolisi. Mfumo umebaki kwenye vitabu vya sheria ambao hata haufutwi. Kama taifa tuna haya
1. Tufufue mfumo tena
2. Tuweke katiba mpya
3. Kama tunapenda mfumo huu wa Kipolisi ambao sidhani kama watanzania wana utaka basi wekeni kisheria! tattizo la sasa tunafuata mfumo ambao haupo kisheria
1. Tufufue mfumo tena
2. Tuweke katiba mpya
3. Kama tunapenda mfumo huu wa Kipolisi ambao sidhani kama watanzania wana utaka basi wekeni kisheria! tattizo la sasa tunafuata mfumo ambao haupo kisheria