Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
1970
"Nimekubali lakini sitaki kufanta mapenzi mpaka unioe"
1990
"Nimekubali lakini naogopa baba na mama watajua"
2000
"Nimekubali ila usimwambie mtu"
2005
"Nataka lakini tutumie kinga"
2010
"Ni pesa yako tu maneno sitaki"
2014-15
Nimekubali lakini haupo peke yako"
2016-......
Tuna Dada zetu,watoto zetu,binamu zetu,rafiki zetu n.k.
Je,Kipindi kipi mabinti walikuwa sahihi ambacho unapenda kijirudie?