Mfumo wa kusimamia mahesabu ya biashara

Mfumo wa kusimamia mahesabu ya biashara

joba joba

New Member
Joined
Nov 9, 2019
Posts
2
Reaction score
3
MSAADA TAFADHALI Samahani waungwana naomba kwa anayejua ule mfumo unaomwezesha mfanya biashara kujaza bidhaa zinazoingia dukani na zinazotoka ili kujua biashara yake inaendeleaje hata kama yeye yuko mbali ila mfumo unaweza kusimamia biashara yake.
 
Mfumo unaweza kusimamia Biashara yake.... hujaskia Dangote anasema kuna wakati halali... Mo nae aliwahi sema analala masaa machache sana kwa ajili ya kusimamia Biashara zake
 
MSAADA TAFADHARI Samahani waungwana naomba kwa anayejua ule mfumo unaomwezesha mfanya biashara kujaza bidhaa zinazoingia dukani na zinazotoka ili kujua biashara yake inaendeleaje hata kama yeye yuko mbali ila mfumo unaweza kusimamia biashara yake.
Ukiupata nami nipatie.
 
Kwa anayehitaji mfumo wa kusimamia biashara yake anicheki.

Mfumo unafanyakazi automatically na kukupa matokeo ya mauzo, manunuzi, matumizi, faida au hasara, bidhaa ngapi zimeuzwa na ngapi zimebaki na kadhalika.

Call me now 0789176080 bei nafuu na maelewano yapo
 
Back
Top Bottom