MAKA Jr JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 267 Reaction score 209 Aug 2, 2022 #1 MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu. SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao?
MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu. SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Aug 2, 2022 #2 MAKA Jr said: MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu. SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao? Click to expand... Tanzania sera ya elimu kila kiongozi anaibadilisha anavyotaka tu, yaani vurugu vurugu
MAKA Jr said: MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu. SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao? Click to expand... Tanzania sera ya elimu kila kiongozi anaibadilisha anavyotaka tu, yaani vurugu vurugu