Yan Tanzania unailinganisha na china kabisa acha basiwakati watoto wa huko china Wanajifunza kwenda mwezini hii
Sasa historia ya Tanzania ulitaka wafundushe vitu gani?Mfano historia ya Tanzania mtoto anafundishwa teknolojia ya asili ya uvuvi, uhunzi, kilimo wakati watoto wa huko china Wanajifunza kwenda mwezini hii habari ya teknolojia ya asili inamsaidia vipi mtoto wa kitanzania??
Wachina na waarabu ndo washirika wakubwa wa maendeleo ya hii nchi, kujua hizo lugha ni muhimu.Kuna vitabu vya kichina, kiarabu huko kwenye mitaala ya shule za primarily na secondary school's Yan 😂 watoto watu ss ivi wanafundishwa kichina na kiarabu.
Ni kama serikali inasaidia kueneza ukoloni Mambo Leo,Sasa sijui wanajua au Ndio Kuna MTU kala cha juu,
Ili watoto wetu wawe wachuuzi wa bidhaa zao.Wachina na waarabu ndo washirika wakubwa wa maendeleo ya hii nchi, kujua hizo lugha ni muhimu.