Ni kweli kabisa lakin nchini kwetu limekuwa too much mkuu ukilinganisha na nchi zingine yaan idada ya graduators inazid kuwa kubwa ukilinganixha na job creation mtaaniIli tatizo lingekuwepo Tanzania tu, mtazamo na uelewa wako ungekuwa na mashiko. Jambo la kustahajabisha hata ulimwengu wa kwanza wanakumbana na changamoto hii.
kwa takwimu gani ndugu maana kuongea tu bila takwimu si vyema, Huwezi sema kwenu ni tatizo kubwa kuliko sehemu nyingine Kama hujafanya utafiti na kuja na takwimu.Ni kweli kabisa lakin nchini kwetu limekuwa too much mkuu ukilinganisha na nchi zingine yaan idada ya graduators inazid kuwa kubwa ukilinganixha na job creation mtaani
Kaka utofauti katka maixha upo na utazidi kuwepo ukizngumzia wasanii ni level nyngne hyo mfn mzr umechkulia kwa mond , hyo ni msanii aliyejariwa kipaji na ubunifu mkubwa alio nao ndo umemfnya afike hapo alipo rmbu turudi nyuma angalia kikundi kikubwa cha wanafnz wanao toka vyuon ni wangap ambao wanapata kazi za maana na za uhakika???Inahitajika zaidi ya elimu kutengeneza ajira. Japo elimu ni miongoni mwao.
Mfano Diamond hana elimu kubwa lakini amefanikiwa kwenye hilo. Kuna mengi ya kufanya ila kwa sasa ningekushauri uendelee na utafiti wako
That's great madam!!!so unaishauri nini serikali kutokana na huo mtazamo wako ili kusolve tatzo la ajira kwa vijana ka sisiElimu kwa vitendo itasaidia kuifanya wanafunzi wapende elimu,na sio kupoteza muda kukariri ..
To identify skill/knowledge gap, kwa kuangalia soko la ajira linataka nini/vigezo vipi,kisha incoperate this into curriculum/syllabus, sio kwenda kusoma mavitu irrelevant moja,second hayapo interesting ,third wastage of resources!..time and money,lol
Kaka bila kupepesa macho ,amin kadili watanzania tunavyoongezeka swala la ajira linazidi kuwa changamoto ,, there's strategics plan zozote zinazochukuliwa ili kupanua wigo wa ajirakwa takwimu gani ndugu maana kuongea tu bila takwimu si vyema, Huwezi sema kwenu ni tatizo kubwa kuliko sehemu nyingine Kama hujafanya utafiti na kuja na takwimu.
Yes cc ni wavivu wa kufikiri but cyo wa kufanya kazi ,, kijana wa sasa anakubali kushinda kuanzia akibeti akiamini ya kuwa hamna kazi ya kufnya kumbe huo mda angeutumia kwa uzalishaji angefnya mmbo ya maana in addition to that vijana wa sasa hata tukifanikiwa kidgo tunatumia mda mwngi sana kujiproud kwa watu tunasahau kuweka more efforts zaid badala yake tunajipongeza hatua moja mbele na kurud hatua tatu nyuma hlo nalo ni tatzoissue nyingine ni uvivu...vijan wengi ni wavivu kufikiri na kufanya maamuzi chanya... sasa sijui ni mfumo wetu wa elimu bado unachangia hili tatizo au ndio nature yetu rangi nyeusi inatuandama....
kwahiyo nchi nyingine hawaongezeki.?Kaka bila kupepesa macho ,amin kadili watanzania tunavyoongezeka swala la ajira linazidi kuwa changamoto ,, there's strategics plan zozote zinazochukuliwa ili kupanua wigo wa ajira