Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 519
- 1,463
Nilizaliwa, nikakua mtaa. Nikapigwa jua nikiwa mdogo nikihangaika na school kama soldier kwenye mission ya kutafuta life bora. Nilisoma shule ya msingi hadi sekondari kwa tabu, vumbi na njaa, lakini bado nika-graduate A-Level kama shujaa wa ghetto. Then nikabahatika kupata chance ya kusoma chuo Marekani, na bro, hiyo ndiyo siku akili yangu ilizaliwa upya. Nilichogundua kule ni kwamba elimu ya Tanzania ni joke ya karne. Ni mtego wa akili. Ni mzigo wa kutufunga kama watumwa wa karne mpya.
Nikiwa Marekani, niliona real education ni nini. Hakuna nonsense ya kukariri definition kama vile unakariri nyimbo za madrasa. Unachagua masomo kulingana na passion yako. Kuna freedom ya kufikiri. Unapewa tools za kujenga life yako, skills ambazo zinafaa kwenye real world.
Mwalimu anakutreat kama mtu mzima, sio kama mwanafunzi mjinga wa kuadhibiwa. Hakuna haya matapishi ya NECTA, hakuna ujinga wa paper moja kukutengenezea future au kukuangamiza. Unapewa chance ya ku-develop step by step, unaandaliwa kuwa boss, creator, innovator—not just a job beggar.
Lakini huku nyumbani, system ya elimu ni kama laana. Mfumo wa kuandaa watumwa wa kisasa. Unafundishwa mambo yasiyoendana na dunia ya sasa. Unateseka miaka yote primary hadi high school, mwisho wa siku unakuja kufungwa future yako na mtihani mmoja wa NECTA.
Kama hujafaulu, basi maisha yako yameisha, tena hata hujui kosa ni nini. Wewe si wa kwanza kukosea, lakini system haikusamehei. Haiangalii uwezo wako, haiangalii kipaji, haikupei second chance ya kweli. Ni mfumo wa “fail once, suffer forever.” That’s a cold-hearted system, bro!
Unadhani unajifunza critical thinking? Bullshit! Unakariri paragraph kama parrot. Ukitoa idea tofauti na kitabu, unakosolewa. Ukisema unataka kujifunza app development badala ya practical ya biology, unachekwa. Hii system inataka utulie, ukae kimya, ukubali unachopewa—kama slave. Hakuna motivation ya kuwa mbunifu, hakuna tech skills, hakuna financial literacy, hakuna exposure. Just pure dry-ass theory. Hii siyo education. Hii ni punishment ya taifa maskini kwa watoto wake.
Alafu bado serikali na walimu wengine wana guts kusema “elimu ni bure.” Elimu ya Tanzania ni gharama kubwa kuliko zote—inatugharimu ndoto zetu, muda wetu, na future yetu. Tunapoteza miaka mingi kujifunza vitu visivyo na maana. Wengine tunamaliza degree tunajikuta tunaishi na mama zetu, tukisubiria miujiza ya ajira ambayo haiji. Halafu wakikuona mtaani, wanakuuliza, “mbona hujaitumia elimu yako vizuri? Elimu yenyewe ilikuwa upupu, sasa natakiwa niitumieje? Niitumie kufundisha wengine upumbavu uleule?
Tatizo kubwa ni kwamba vijana tumeingizwa kwenye hypnosis. Tumeaminishwa elimu hii ni njia pekee. Tumeaminishwa NECTA ni Mungu wa elimu. Tumeaminishwa kuwa tukifeli, basi maisha yameisha. That’s the biggest scam ever sold to a whole generation. Hatujafundishwa ku-question system. Hatujafundishwa ku-create. Hatujafundishwa kujitegemea. Tumeandaliwa kuwa watumwa wa ajira, wenye hofu ya kubuni kitu kipya. Na serikali inafurahia hali hiyo—kwani ni rahisi kutawala kundi la watu waliovunjwa matumaini.
Mi nilipoingia Marekani na kuona tofauti, nililia. Literally, I cried. Nikajiuliza: “kwanini huku tunapewa elimu ya kutengeneza maisha, huku nyumbani tunapewa elimu ya kuua ndoto?” Majibu ni obvious—wanataka tuwe maskini milele. Wanataka tuwe mabegi ya kupiga kura na kulia kwa hasira bila kufanya chochote. Wanataka tuwe robots waliovaa suti lakini hakuna akili ndani. Wanataka tusiseme ukweli kwa sababu tunaheshimu system kuliko akili zetu.
Kama hutakubaliana na mimi, basi umeshakula sumu ya system hadi unaona ni halali kunyimwa ndoto zako. Mtaala wetu ni outdated kama Nokia ya torch. Haufai hata kufundishia panya kujenga mashimo. Kama tuna ndoto ya taifa bora, lazima tufumue kila kitu na kuanza upya. Lazima elimu iwe based kwenye uhalisia wa dunia. Lazima tuache ku-export graduates waliokosa hope na skills. Lazima tujenge system inayowafundisha vijana kujitegemea, kuwa creative, kuwa innovators, kuwa bosses—not slaves wa ajira.
Watoto wa maskini tumechoka kuwa mabox ya content zisizoendana na dunia. We’re tired of being educated and broke. Tuna akili. Tuna ndoto. Tunataka elimu ya kutufungua, si kutufunga. Na kama serikali haitaweza kutengeneza hiyo system mpya, basi sisi vijana tutajifundisha wenyewe, tutaandika syllabus zetu, tutajenga platforms zetu.