Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia mfumo na mtandao kutoka kwa wanasiasa.
Hadi hivi leo sielewi kwa uhakika tofauti kati ya mfumo na mtandao,naomba kuelimishwa maana tafadhali bila kuingilia siasa.
Mfumo upo kila Chama ila mfumo mbovu upo CCM kuanzia kwenye kupata uongozi na jamaa wamejiwekea utaratibu wa mtu akiwa madarakani anajilimbikizia Mali, kupata uongozi ni fedha, lolote kwao ni fedha, pia mitandao ndo ule utaratibu wa kutengeneza namna za kujilimbikizia Mali kwa kutumia watu fulani au tasisi fulani, CHADEMA vitu vingi vinafanywa kwa uwazi na haki inaonekana ikitendeka, mtazamo wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.