Inafanywa kupitia mfumo wa Online Aptitute Test System (OATS) kama saili za kada nyingine kwasasa, pia kuna practical na oral japo sijajua practical huwa zinakuwaje kwa kipindi hiki lakini mimi mara ya mwisho kufanya kada ya T.A ilikuwa ni saili mbili tu written na oral , oral interview ilikuwa inaambatana na kuandaa presentation ya topic yeyote unayoijua kiundani na kisha kwenda kupresent ndani ya 15 minutes mbele ya jopo la wanataaluma (Academicians) na baada ya hapo wanakuuliza maswali kadhaa kutoka kwenye presentation yako pamoja na general interview questions.