Trading time for money. Ndio hivyo sasa; utafanyaje? Hakuna namna ni kulipa tu mpaka umalize deni au wakuuzie nyumba.WADAU.
Ajira mpya serikalini tunanyonywa sijui ni kwa ufinyu wetu wa maarifa au nitakua mkosefu sana kwa kusema kuna mapapa walioweka mifereji kwa kufanya mifumo rasmi iwe migumu na kutumia huo ugumu kama faida kwao kwa kutunyonya sisi.
Ni ngumu kusema ni mtu wa nje ya mfumo kwakua vinavyotendeka vinahitaji mtu mwenye idhini kubwa.
Ninaomba msaada wenu wakuu.
View attachment 3606965View attachment 3606966View attachment 3606967View attachment 3606968View attachment 3606969View attachment 3606970View attachment 3606971
Trading time for money. Ndio hivyo sasa; utafanyaje? Hakuna namna ni kulipa tu mpaka umalize deni au wakuuzie nyum
Saf mm ningekua na bank ningeweka milion 50, Hela zangu ukae nazo miaka 10+ nina undugu naww?
Ni ngumu!Saf mm ningekua na bank ningeweka milion 50, Hela zangu ukae nazo miaka 10+ nina undugu naww?
Mwambie aweke 10m kwa 2 years kama itafika hata 12m
Vya Bure vinagharamaNi ngumu!
Ninaomba msaada wa nini nifanye, pesa yao ambayo ni milioni 1.57 sijaitumia bad
Sidhani kama nimeeleweka ama sijajielezea vizuri!.Saf mm ningekua na bank ningeweka milion 50, Hela zangu ukae nazo miaka 10+ nina undugu naww?
Mwambie aweke 10m kwa 2 years kama itafika hata 12m
Gharama au ni utapeli?!Vya Bure vinagharama