Yadox hao LAPF majanga, Mimi mwenyewe nilikimbilia sasa mwezi Jana nilienda ofcn kwao Baada ya kumaliza miez 6, sababu nafanya kazi hapa dar , nikatimba makao makuu na salary slip sita, maana biliambiwa ikimaliza miezi sita ndo unapata mkopo Wa 3 times amount ya basic salary kama mkopo Wa kuanzia maisha,,,Cha kushangaza nikaambiwa hiyo haijawahi tekelezwa na bado wanatangaza hawajahi kumpa hata MTU, ni plan yao tu...nikajilaumu why sikujiunga na PSPF..kwa hiyo mkuu futa kabisaaa mawazo kwa hao jamaaa