Hivi kwenye fao la Uzazi huwa inachukua muda gani kupata pesa? Maana documents zote zilijazwa zikapelekwa wakasema ndani ya mwezi hela itakuwa tayari lkn kila siku wanakuja na hadithi mpya,hawa LAPF bure kabisa
Mimi waliniambia hivyo hivyo kwamba ndani ya mwezi mmoja utakua umelipwa..... Lakini kilichotokea kila siku story..... Mara michango? Mara network hakuna.... Mara wafanyakazi wachache..... Sababu haziishi...... Kiukweli Lapf majanga.... nadhani bora NSSF bt not sure....
Nikiwa kama Mfanyakazi wa Mfuko sio huo nakushauri yafuatayo:
-Jaribu kwenda wa wahusika mhakikishimane kwamba document zinazotakiwa zipo
-Omba hesabu za michango za marehemu na kujihakikishia kwamba fao la warithi li aendana na formula ya ukokotoaji ya fao lako .tacuta wadau wanaojua formula ya LAPF ya ukokotoaji mafao wakusaidie hapa
Kama kila kitu kiko sawa na unacheleweshewa makusudi fikisha tatizo lako kwa Mkurugenzi Mkuu.Hakuna mfuko unaokusudia kuchelewesha mafao pasipo sababu