Si Halali, Wala Haihitaji Sheria, Wanachofanya Wanatumia Rup Hall Ya Uchache Wa Wakristo Kuwakandamiza Wakristo, Kama Ni Hija Hata Wakristo Wanatakiwa Kwenda Hija Israel, Nani Anawalipia Hao Wakristo? Ukweli Lazima Usemwe.

Achana na Zanzibar wewe fata yako. Kule ni 99% Muslims.
Hao 1% waliobaki kama utapenda unaweza kuwahamisha ili wasikatwe kodi yao ikaingia katika huo mfuko.
Achana na Zanzibar wewe fata yako. Kule ni 99% Muslims.
Hao 1% waliobaki kama utapenda unaweza kuwahamisha ili wasikatwe kodi yao ikaingia katika huo mfuko.
Nadhani kutakuwa na mfuko maalumu wa hayo mambo, sidhani kama ni P.a.y.e au zssf zetu, watachangishana misikitini na kwenye mihadhara yao
Dr. FaizaFoxy Una hoja kabisa, ndiyo maana tunataka Zanzibar yenye uhuru kamili. Na kweli hayo masuala ya kisera na mfumo kwa vile yanafanyawa kwa nguvu ya wengi wape -inakuwa halina ubishi-muhimu lipitie mfumo wa Kidemokrasia-peleka Bungeni wawakilishi wa wapiga kura waamue.
Lakini pia kuna namna ya kuwasaidia wahanga wa tukio hili-kupitia mfuko wa Maafa-hawa ni watanzania wenzetu kwa hiyo hakuna suala la ohoooo walikwenda hija kwa hiari yao sijui na mambo mengine.
Kwa hiyo Serikali zote mbili zinatakiwa kuchukua hatua.
Mbona waislam huku Bara tunalipa pesa zetu zinaenda kwenye hospitali zinazomilikiwa na mashirika ya kikristo? Anyway kwa Zanzibar ni maamuzi yao after all zaidi ya 99 % ni Muslims haina shidaa.
Pia ukiangalia asilimia Kubwa ya wagonjwa kwenye hizo hospital ni waislamMbona waislam huku Bara tunalipa pesa zetu zinaenda kwenye hospitali zinazomilikiwa na mashirika ya kikristo? Anyway kwa Zanzibar ni maamuzi yao after all zaidi ya 99 % ni Muslims haina shidaa.