Mfugo?!?

Hiyo inanikumbusha enzi za O-level kwenye Literature hasa kile kitabu cha Is it possible!?...Ambapo jamii za kifugaji zilikuwa haziamini kabisa katika elimu

Imani yao kubwa ilijengeka katika msingi wa swali Inawezekanaje kubeba fimbo na kalamu kwa wakati mmoj!?

Lakini cha kufurahisha ni kwamba jamii za kifugaji taratibu zimeanza kubadilika na kuamini katika elimu...
 
Unaweza kumlazimisha punda kwenda kisimani lakini kunywa maji inabaki mikononi mwake.
 
Hapo dogo akifeli, mzazi akimuuliza mbona umefeli dogo anajibu "nilikuwa sipendi shule mlinilazimisha tu"
Mwisho wa maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…