britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,867
Naunga mkono hoja, wengi hawamjui Polepole, mimi namjua na sii mara moja au mara mbili nimewahi kuwaelimisha watu humu kumhusu PolepolePolepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.
Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza
Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?
Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana
Mazee, acheni hizo.Naunga mkono hoja, wengi hawamjui Polepole, mimi namjua na sii mara moja au mara mbili nimewahi kuwaelimisha watu humu kumhusu PolepoleKuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
P
Toa hoja why tuache?Mazee, acheni hizo.
Tishio lolote lililo karibu "Existential Threat" haliwezi kuwachiwa lijipalilie njia tena likiwa karibu hivyo ni bora likawa mbali zaidi.Toa hoja why tuache?
P
Ivi unaweza kupewa zawadi kama pole pole [emoji706]Kwa kweli Polepole ni zawadi nyingine toka kwa MUNGU tuliyopewa watanzania
Anayefikiria kumpoteza atapotea yeyeSoon atapotezwa mazima kwenye ulingo wa kisiasa ni suala la muda tu
Angalau atajifunza Ki Spanish, au kispaniola!Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?
Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.
Kama kuna mtu hamtaki Polepole kama wadhaniavyo wengi angetupwa tu akasinyaa na asingefanya lolote lile, ila Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza na mama hayuko katika magenge ya wasaka Tonge ambao wanaweza kuwa na uadui na Polepole
Ni mama huyu huyu anahudhuria hadi shughuli za CHADEMA na ni mama huyu huyu kwa ustarabu wake atawashangaza wengi ifikapo 2030.
Siasa sio Makelele ya jukwaani tu, siasa zinataka COMPROMISES na kuwa inclusive kwa kila pande hata zile uonazo zinakinzana lakini katika agenda yako waona zina tija.
POLEPOLE🤷🏿♀️🤷🏿♀️🤷🏿♀️
Alitupwa Lowasa nje na hakufurukuta itakuwa Polepole hata shs 50M bank ya akiba hana???😄😄😄
Acheni hizo wadhaniao Polepole anakomolewa. Mtu anaenziwa watu wanapandikiza chuki kuwa anakomolewa.
Kukomolewa angepigwa chini, tuishie kumchangia nauli.
John Nchimbi wa Mexico na Cuba ndio yupi? Au ulimaanisha Emmanuel Nchimbi aliyepelekwa kuwa Balozi huko Brazil na sasa yupo Misri? Km hujui hata Dr. Nchimbi alikuwa balozi wapi, huwa mnatoa wapi ujasiri wa kujiita great thinker?Tishio lolote lililo karibu "Existential Threat" haliwezi kuwachiwa lijipalilie njia tena likiwa karibu hivyo ni bora likawa mbali zaidi.
Mengi tayari yameongelewa humu JF juu ya huu uhamisho.
Reference ni John Nchimbi je baada ya Cuba au Mexico yuko wapi?
Hivyo uhamisho huu naamini ni kuondoa chembechembe za vumbi na si vinginevyo.
Sasa unalia nini ?Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?
Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.
Kama kuna mtu hamtaki Polepole kama wadhaniavyo wengi angetupwa tu akasinyaa na asingefanya lolote lile, ila Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza na mama hayuko katika magenge ya wasaka Tonge ambao wanaweza kuwa na uadui na Polepole
Ni mama huyu huyu anahudhuria hadi shughuli za CHADEMA na ni mama huyu huyu kwa ustarabu wake atawashangaza wengi ifikapo 2030.
Siasa sio Makelele ya jukwaani tu, siasa zinataka COMPROMISES na kuwa inclusive kwa kila pande hata zile uonazo zinakinzana lakini katika agenda yako waona zina tija.
POLEPOLE[emoji2378][emoji2378][emoji2378]
Alitupwa Lowasa nje na hakufurukuta itakuwa Polepole hata shs 50M bank ya akiba hana???[emoji1][emoji1][emoji1]
Acheni hizo wadhaniao Polepole anakomolewa. Mtu anaenziwa watu wanapandikiza chuki kuwa anakomolewa.
Kukomolewa angepigwa chini, tuishie kumchangia nauli.